Maradona: Simjui Messi kiundani, namjua juu juu lakini hafiki viwango vyetu Mimi na Pele

Maradona: Simjui Messi kiundani, namjua juu juu lakini hafiki viwango vyetu Mimi na Pele

Maradona 1986 Mexico World Cup anapiga chenga timu nzima ya England semifinal Argentina anaingia final si mchezo wengi walikuwa watoto
 
Uko serious kweli mkuu? xavi, iniesta, segio hawa wote hawana viwango?
Ngoja nikuambie
Ureno
Yugoslavia
Chile
Peru
Agentina
Brazil
Italia
Romania
Zakazalika za zama hizo sio kama zamuda huu
Mpira nyakati hizi umepoteza ladha sana mafundi wamepungua
Angalia nyakati za kinamaradona na pelle mastaa walikuwa wengi sana
Leo hii mwaka karibu wakumi unazungumzia Messi na Ronaldo feki tuu
 
Wataje mastaa 5 waliocheza na pelle kutoa teammates wake
Eusebio humjihi, Humjui clyf, Humjui, Bergio, Garincha,
Ngoja nikutajie hata wengine na miaka waliotisha, tatizo watoto wengi hapa
1956 Stanley Matthews

1957 Alfredo Di Stefano

1958 Raymond Kopa

1959 Alfredo Di Stefano

1960 Luis Suarez

1961 Omar Sivori

1962 Josef Masopust

1963 Lev Yashin

1964 Denis Law

1965 Eusebio

1966 Bobby Charlton

1967 Florian Albert

1968 George Best

1969 Gianni Rivera

1970 Gerd Muller

1971 Johan Cruyff 7³ na 74 tena

1972 Franz Beckenbauer

1973 Johan Cruyff

1974 Johan Cruyff

1975 Oleg Blokhin

1976 Franz Beckenbauer

1977 Allan Simonsen

1978 Kevin Keegan
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Messi kuto kula ganja kama yeye na hatimae kumuwezesha kuvunja na kutengeneza record mpya za soccer duniani kuliko huyo maladona mla ngada.
Sasa uoni kuwa Diego Ni hatari anakula unga na still bado anapiga mpira wa maana,
 
Uko serious kweli mkuu? xavi, iniesta, segio hawa wote hawana viwango?
Hao uliowataja anacheza nao timu moja na huyo mwingine Sergio angalia hata youtube uone Messi wako anavyopataga shida kumpita.
 
Back
Top Bottom