Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
- Thread starter
-
- #21
Inaonekana jamaa we ni agent wa Messi kuna Uzi Hadi umetukana mtu hahahaBila shaka wewe ni man united fan boy mungu wako imemshinda hatrick elclassico ana u mungu gani?
Kwako wewe definition ya kuwa mungu wa soka ni kuwa na hattrick?Bila shaka wewe ni man united fan boy mungu wako imemshinda hatrick elclassico ana u mungu gani?
Huyo naaona ni agent wa MessiKwako wewe definition ya kuwa mungu wa soka ni kuwa na hattrick?
Mwaka uliozaliwa minus 10.Wewe umejua mwaka gani?
Γdiyo gaucho ana kombe la dunia, Messi au Ronaldo Cristiano wanalia?Uyo gaucho anarecord ambayo cr7 hana?
Uko serious kweli mkuu? xavi, iniesta, segio hawa wote hawana viwango?Messi anacheza namabeki na viungo wengi wasiokuwa na ubora kama wa enzi za pele na maradona
Ngoja nikuambieUko serious kweli mkuu? xavi, iniesta, segio hawa wote hawana viwango?
mpk achukue kombe la dunia ndo atawaovertake
- Messi
- Diego
- Pele
Nakweli aise kawakosesha isingizi kabisa. Coz kishawaovertake.
Eusebio humjihi, Humjui clyf, Humjui, Bergio, Garincha,Wataje mastaa 5 waliocheza na pelle kutoa teammates wake
mpk achukue kombe la dunia ndo atawaovertake
Sasa uoni kuwa Diego Ni hatari anakula unga na still bado anapiga mpira wa maana,Messi kuto kula ganja kama yeye na hatimae kumuwezesha kuvunja na kutengeneza record mpya za soccer duniani kuliko huyo maladona mla ngada.
Hata pascal cygan mkuu dunia inamtambuaMessi dunia inamtambua yeye kweli ni wivu tu
Huyo Ciara7 wako "cr7" kachukua kombe la dunia la mwaka gani?Uyo gaucho anarecord ambayo cr7 hana?
Hao uliowataja anacheza nao timu moja na huyo mwingine Sergio angalia hata youtube uone Messi wako anavyopataga shida kumpita.Uko serious kweli mkuu? xavi, iniesta, segio hawa wote hawana viwango?
Kwa kitu gani?
- Messi
- Diego
- Pele
Nakweli aise kawakosesha isingizi kabisa. Coz kishawaovertake.