Maradona: Simjui Messi kiundani, namjua juu juu lakini hafiki viwango vyetu Mimi na Pele

Ozil ana word cup kwaiyo ni bora kuliko cr7?

Acheni kuwa brainwashed WC inakupa heshima tu lakini sio kukufanya uwe bora kuliko ambao hawajachukua
Umeuliza swali nimekujibu kutokana na swali lako sasa unakuja na assumption nyingine ambayo haifanani na ile ya mwanzo.
 
Ozil ana word cup kwaiyo ni bora kuliko cr7?

Acheni kuwa brainwashed WC inakupa heshima tu lakini sio kukufanya uwe bora kuliko ambao hawajachukua
Ozil Hana criteria Nyingine walizonazo kina Gaucho na De lima,

Kwa kifupi
1.Pele
2. Eusebio
3. Garincha
4. Màradona
5. Bergio
6. Zidane
7. Ronaldinho Gaucho
8. De lima,
9. Messi
10. Iniesta
11. Thierry Henry
12. Xavi
13. Cristiano Ronaldo
14. John Cruyff
 
Gaucho anakaaje hapo kapitwa goals na messi assist hadi kila kitu sio messi kapitwa hadi na neynar jr
Assist zipi unasema,

Kinachomuweka hapo Gaucho ni kuwa na
1. World cup 1
2. Confederation cup 2
3. Copa America 3
4. Uefa 2
5. FIFA world of player 2 times
6. Balloon dor 1 kabla haijaunganishwa na Muhuni Blatter Kwa shinikizo la wafanya biashara na kamali,

Sasa Kwa vigezo hivyo Messi anaingia hapo ? Yeye kakomàa na Uefa na Ballon Dor Tu hahaha aisee,

Alafu neyma ndo Hana kitu kabisa wala usimtaje

Katika hayo makombe nilotaja ndo alikuwa top assists katika kuwezesha makombe, ndo maana sijamtaja Kaka, au Romario au Lucio maana wote wana makombe hayo lakin hawana kigezo cha ziada cha Ronaldo de asses moreira yaan Gaucho

Na katika ranking ya cups
1. World cup inaongoza Kwa heshima na thank
2. Confederation cup inafuata
3. Euro
4. Copa America
5. Uefa
6. EPL

Au na hapo unabisha,?
 
Kuna uzi humu mashabiki wa Messi wanamkataa MR. II, wanasema yupo nyuma sana ya PROF. JIZZY na ROMA!
 
Hakika
 

Wabongo kwa kumake hawajambo. Hii list yako hata kipofu humdanganyi kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…