Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Maradona amenukuliwa akisema kuwa , Messi ni mchezaji mzur sana. Lakini si kiongozi kwa maana ya kwamba hawezi ongoza wenzie. Anasema ni vigumu kumfanya kiongozi mtu ambaye kabla ya mechi anaenda msalani mara 20.
Hatujui anaenda kufanya nini. Kama ni kupooh, kukojoa,kucheza pool au kujitizama kwenye kioo...
Si maneno yangu ni ya mkongwe Diego Armando Maradonna. Mchawi wa mpira toka Argentina. Ambaye hatowasahau Cameroon ile ya akina Makanacky, Roger Miller, Emmaniel Kunde n.k