Marafiki, mi ni new member

Marafiki, mi ni new member

Michael_03

Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
18
Reaction score
18
Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee

Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Job seeker kwa job gani??

Kama unaweza kukimbia na tv usiku nicheki[emoji3]
 
Back
Top Bottom