Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Adui sio mtu ambaye yupo mbali, ni rafiki yako wa ndani wa toka nitoke, yaani mmeshibana sana ndio anakuharibia maisha. Leo unamuona bonge la dili ila baadae unakuta yeye ndio amekuharibia vitu, ukija sikia unakufa kabisa. Wala huponi kwa dawa, sindano wala drip.
Kwa hiyo mlio na marafiki tembeeni kwa stepu. Juzi hapa mtu kamuamini rafiki yake akae kwa mchumba wake eti ndio atamchunga vizuri, kurudi baada ya masomo anamkuta best yake ni mke wa halali wa jamaa!