Marafiki ndio maadui zako wakubwa

Marafiki ndio maadui zako wakubwa

Mkuu acha tuu yani nimewasamehe Bure ila ingekuwa tunakufa halafu Mungu anatupa nafasi ya kuchagua familia ningemchagua Mama na Baba yangu ila upande wa ndugu wa damu hata mmoja nisingechagua.
Ndugu wengi ni hatari na wamefanya ya hatari sana kwa ndugu basi tu kuna msamaha ila ndugu wanagharimu sana. Ndugu hawaaminiki na wengi wanatumia kigezo cha undugu kutekeleza maasi yao.
 
Inategemea, mwenye makosa hapo ni huyo Mchumba hakuwa na msimamo.
 
Yamenikuta jamani hii ya kusema nina rafiki.

Nimejifunz.Sasa hivi ni mpaka kaburini sitakuwa na mtu et anaitwa rafiki
 
Adui sio mtu ambaye yupo mbali, ni rafiki yako wa ndani wa toka nitoke, yaani mmeshibana sana ndio anakuharibia maisha. Leo unamuona bonge la dili ila baadae unakuta yeye ndio amekuharibia vitu, ukija sikia unakufa kabisa. Wala huponi kwa dawa, sindano wala drip.
"America has neither permanent friend nor permanent enemy, we only have permanent interests"

Waziri wa zamani wa mambo ya nje Henry Kissinger aliwahi kutoa hiyo kauli. Ichikue itakuja kukusaidia sana maishani.
 
Back
Top Bottom