Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Namimi sijui kama wewe ni ke au ze ila hainiusuSjui kama wewe ni Me/Ke ila Nina uhakika hii Story inahusiana na Wewe Aslimia 102%
Yes, mimi sina marafiki na watu Naongeaga na kila mtu aiseeYour Worst Enemy Could Be Your Best Friend & Your Best Friend Your Worst Enemy.
Zipi hizo mie nawaasa watu walio na marafiki hewa mie sina sasa au ??usiwaze sana utapata stress
Bob marley said!Your Worst Enemy Could Be Your Best Friend & Your Best Friend Your Worst Enemy.
Kuna vitu vya kuwaamini marafiki lakini sio hivyo...Maadui sio mtu ambaye yupo mbali ni rafiki yako wa ndani wanitoke nikutoke yaani mmeshibana sana ndio . Anakuharibia maisha leo unamuona bonge la dili ila baadae unakuta yeye ndio amekuharibia vitu ukija sikia unakufa kabisa . Wala huponi kwa dawa wala sindano wala drip .
Kwa hiyo mlio na marafiki tembeeni kwa stepu . Juzi hapa mtu kamuamini rafiki yake , akae kwa mchumba wake eti ndio atamchunga vizuri kurudi baada ya masomo anamkuta best yake ni mke wa halali wa jamaa.
Kama nini ?Kuna vitu vya kuwaamini marafiki lakini sio hivyo...
wanasema ni heri wali maharage kuliko walimwengu, ndugu ni watu wengine wa kuwa nao makini sana.Mkuu na baadhi ya ndugu wa damu kabisa uwezi amini kama mmetoka mama mmoja baba mmoja Mungu atasaidie Sana.