Marafiki tuliosoma Shule moja tutafutane hapa

Marafiki tuliosoma Shule moja tutafutane hapa

Huwezi amini sijaelewa ulichoandika[emoji706][emoji706][emoji706]
Huwezi elewa kwa kuwa HUNA AKILI
Tazama replies za wenzako kisha fanya ku compare na ya kwako ya mwanzo, kisha zunguka nyuma ya nyumba yako, jimwagie maji kichwani, kisha sema "sina akili", piga nyeto urudi kulala
 
Halafu mkikutana nao mtaongea nini?

Labda yeye ni Ofisa wa Jeshi na wewe una unga unga mtaani, hapo unadhani hata mkibadilishana namba mtaanza kuongea nini?

Mtakumbushana mambo ya shule baadaye mwenzio mwenye nacho anaanza kukuona unampotezea muda.

Ndio ukianza kupiga simu mara inatumika Mara haipokelewi na hata akiona missed call hakutafuti.

Hapo fahamu wewe sio muhimu.

Tuache kushobokea watu, sio kila mliosoma nae lazima mbadilishane Namba.
 
Yeah naipata, me nilisoma K'nyama kisiwani ila mwaka 1
Knyama kisiwani nimecheza sana mpira na ni miongoni mwa watumishi hapo kanisani, kipindi hiko tulikuwa tunaita kigangoni, now kanisa limeshajengwa ila sijajua kama imeshakuwa parokia ama bado..
 
Kizuka ya miaka iyo alikuwepo jamaa anaitwa mbaraka forogo kwa sasa ni katibu tawala mkoa wa mara nahisi alikuzidi vidato
Wa miaka yetu, Kizuka tumetoa makatibu tawala kama watano hivi. Forogo alinizidi mwaka mmoja
 
MWANZA SECONDARY, S2, 2017 - 2018

JANETH, BIASHARA 2016 - 2017 Shombe shombe fulani hivi [emoji39][emoji39]MWANZA SECONDARY

WAREMBO WOTE WA A1, A2 & A3 MWANZA SECONDARY 2017 - 2018 & 2016 - 2017

MUUNGANO P/S STD VII 2014, GLORIA SOSPETER NI MUHIMU [emoji39][emoji39]
Sasa hapo juzi tu 2017 mnatafutana kivipi ? Simu zilikuwepo na mazingira rafiki kwa wote kujuana mlipo yapo.
 
Knyama kisiwani nimecheza sana mpira na ni miongoni mwa watumishi hapo kanisani, kipindi hiko tulikuwa tunaita kigangoni, now kanisa limeshajengwa ila sijajua kama imeshakuwa parokia ama bado..
Imeshakua Parokia tayari, inaitwa parokia ya Mt. Yakobo Mkuu Mtume
 
Knyama kisiwani nimecheza sana mpira na ni miongoni mwa watumishi hapo kanisani, kipindi hiko tulikuwa tunaita kigangoni, now kanisa limeshajengwa ila sijajua kama imeshakuwa parokia ama bado..
Mwaka gan???
 
Huwezi elewa kwa kuwa HUNA AKILI
Tazama replies za wenzako kisha fanya ku compare na ya kwako ya mwanzo, kisha zunguka nyuma ya nyumba yako, jimwagie maji kichwani, kisha sema "sina akili", piga nyeto urudi kulala

Hahaaaa kwamba sina akili wakati nawalisha ukoo wenu wote em muulize mama yako anaewalea toka unajikojolea mpka sahv nan

Kisha uhame kwa dada ako…..ndo uje uongee huku
 
Back
Top Bottom