Marafiki tushauriane kuhusu sehemu nzuri na cheap kwa vacation

Marafiki tushauriane kuhusu sehemu nzuri na cheap kwa vacation

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Heshima kwenu brothers and sisters,Ninaomba tushauriane kuhusu sehemu nzuri kwa vacation hapa Tanzania ambaye bei yake ni reasonable kwa kipato cha kati, this year is kind of worst year of my life. alot of complicated things in my mind and i have to refresh before returning to work

nahitaji kwenda sehemu ku relax atleast for a week kumalizia likizo yangu maana karibu yote imeishia kumuuguza b mkubwa.naomba mapendekezo ya sehemu nzuri zenye cheap rate ambayo nikienda mwenyewe or with my fiancee nitamudu na ambayo kweli nitarefresh na kurudi kibaruani na nguvu mpya. maana nimechoka sana ndugu zangu, my budget ni lak 6 to 7 for 4 or 5 days exluding transport.
 
1. Koko bichi
2. ???????
3. ???????
4. ???????
5. ???????
 
Hiyo laki 6 si ukatoe hata msaada kwa watoto yatima mkuu?
 
Njoo Kigoma
Lake Tanganyika beach, bed n breakfast 80,000 per day. Ukae siku 2, then muende Gombe National Park 3 days gharama haizidi laki 200,000/=
 
Ungesema mkoa uliopo ingekuwa rahisi zaidi baba. Na kama una gari ambayo ni 4WD itasaidia kupunguza gharama za usafiri. Ukinijibu hii tutashare.

Pole na kuuguliwa.
 
jamani sipendi vakesheni za kuangalia wanyama, sijui nina matatizo gani.
 
kiwanja unacho?? na kama unacho/huna unampango gani?kodi je inaishia lini..gari jee
 
kama uko daslam..KIMBOKA BY NITE BAR ni murua sana..na bei zake ni BUKU MBILI HIVI
 
Nenda Lushoto kama upo dar itasaidia pia kuchange hali ya hewa,pana mandhari nzuri na milima iliyotulia.Think of it ukipakubali ntakupa details zaidi.Pole kwa kuuguliwa!
 
hata kama unajenga, maisha mengine ndo yasimame?

Huzikwi na nyumba siku ukifa lol

Hahahaaaa...saaanaaa tu. I wonder!! Mtu usifurahi siku moja moja kisa nn..pesa yako mwenyewe. Ndo yale yale una concetrate kwenye mjengo kisha wanakuja kuishi wengne...
 
Kuna watu hapa Tanzania wanalala na njaa wewe unazungumzia vacation!
 
aaaah...kwahiyo mtu atoke jasho weeeeeeeeeee,mwisho wa siku aanze kuji-stress kuhusu tumbo la mtu mwingine...doh!
 
tena bora ufe kifo halali kuliko wakuset ufe afu wanakuja kuishi kwa raha.

Hata kama una watoto wanakuwa watumwa nyumbani kwao wenyewe.

Hahahaaaa...saaanaaa tu. I wonder!! Mtu usifurahi siku moja moja kisa nn..pesa yako mwenyewe. Ndo yale yale una concetrate kwenye mjengo kisha wanakuja kuishi wengne...
 
Back
Top Bottom