Marafiki tushauriane kuhusu sehemu nzuri na cheap kwa vacation

Marafiki tushauriane kuhusu sehemu nzuri na cheap kwa vacation

aaaah...kwahiyo mtu atoke jasho weeeeeeeeeee,mwisho wa siku aanze kuji-stress kuhusu tumbo la mtu mwingine...doh!

Eeh hii imetulia,hahaha nimeipenda sana,so mtu usifanye mambo yako kisa?!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Thanks wadau, nitatokea dar so kwa mliofika selous naombeni mchanganuo wake as nasikia ni karibu na dar. Na hata wa lushoto nitafurah nikipata mchanganuo wake wa accomodation maana nahisi budget yangu italingana na huko. Kuhusu zanzibar mkuu nimeshaenda sehem nyingi ni gharama na hakuna vivutio sana tofaut na beach.

Mdau uliyesema kiwanja na nyumba, kiwanja kipo japokuwa cha hela ya mkopo so hadi nimalize deni ndo nitaanza kujenga as salary imekuwa ndogo had na survive kwa per diem na other allowances plus shughul ndogo ndogo. So kuhusu kujenga polepole najua nitaongeza nguvu nikishaoa. So wadau nipen sehem nzur na cheap
 
Lipia kodi ya chumba miezi 6, zinazobaki mnunulie mama na wadogo zako zawadi,utapata faraja zaidi na hata mungu atakurudishia mara dufu ya ulichotoa
 
...."kujipendelea muhimu"...
600,000/- kwa siku nne inatosha.
Nenda popote ambako hujawahi fika, muhimu pawe sehemu pa "kupumzisha akili"
 
Lipia kodi ya chumba miezi 6, zinazobaki mnunulie mama na wadogo zako zawadi,utapata faraja zaidi na hata mungu atakurudishia mara dufu ya ulichotoa

Kaka kodi sidaiwi nimeshalipa, madogo zawadi ni kawaida na watapata out of my vacation budget.... Kaka nipo responsible than you think. Nimechoka nahitaj kupumzisha akili
 
Nenda Tanga sehemu moja wamejenga wakatoliki panaitwa Mwambani nadhani patakufaa sana, Ni pazuri sana view ya bahari nzuri bei ni nzuri room nzuri pamoja na chakula.
 
Lol! Kwa sababu na ww ni mnyama mwenzao. How long is ur tail nibunie kama wewe ni tembo ama nyani?

Msalimie mateka. Nilikuambia yule mganga wangu kiboko atii!
jamani sipendi vakesheni za kuangalia wanyama, sijui nina matatizo gani.
 
Kutoa kwa yatima muhimu na kutoa stress muhimu, ushauri wangu Uncle nenda katoe stress, asipopunguza stress ataishia mirembe kwahiyo. Kwahiyo utaongeza idadi ya vichaa na huku janga la yatima lipo.

Kama haupata any stress in your life, you won't know the difficulties.
 
Usafiri ungeweza kukusaidia kufanya game drives mbugani. Hata ukienda mwanzo lodge, iko on the way to kisarawe (sio ile ya tibaigana) kuna view nzuri na wanyama wachache. Lodge pia ni nzuri na reasonable (ilikuwa 50tau).

Kujipumzisha muhimu kaka, maisha yenyewe mafupi. Shida haziishi.
 
mkia wangu ni 'stunted tail' siwezi upima kwa sasa.

Nafurahi kuangalia bahari, mawingu, mountains, valleys, rocks, and all geographical features lol

mateka bado kasinzia.

Lol! Kwa sababu na ww ni mnyama mwenzao. How long is ur tail nibunie kama wewe ni tembo ama nyani?

Msalimie mateka. Nilikuambia yule mganga wangu kiboko atii!
 
.....recreational/vacation inategemea na hobby za mtu. Je, Mkata Kiu....hobby yako/zako nini nikupe suggestions?
 
mkia wangu ni 'stunted tail' siwezi upima kwa sasa.

Nafurahi kuangalia bahari, mawingu, mountains, valleys, rocks, and all geographical features lol

mateka bado kasinzia.

Hiking, mountain climbing, wind surfing, scuba diving, etc suits you better. Location ndio 2nd choice ya wapi unatamani na utamudu kwenda... Iwe camping Irente View kule Mt usambara, au nature trail Udzungwa falls, au hata snorkelling fukwe za Bawe Island, au Mnemba...😉
 
watu wengine bwana, mtu ameshaeleza amekuwa akiuguza for sometime he needs sometime off the stress nyinyi mnamletea mambo ya watoto yatima, mara sijui kiwanja, inahusu nini?

we nenda Vacation bwana if you feel you need it... Lake Tanganyinka Kigoma nimeshafika ni pazuri sana, yaani its the perfect place to cool your stress. Ila kuna mdau hapo juu kasema ni 80,000 accomodation, nafikiri ni zaidi, I was there in 2010 nakumbuka nililipa about 80 USD kama sikosei. anyway its a fantastic place.
 
Nami naomba makadirio ya kukaa Ngorongoro 2 to 3 nights ukitokea Dar es Salaam

Nikipata mtu akanieleza kwa kutumia usafiri mbali mbali nitashukuru sana

Natanguliza shukurani zangu

Ahsanteni


* Makadirio ya usafiri hadi wa helikopta yanakaribishwa
 
Nenda Lushoto kama upo dar itasaidia pia kuchange hali ya hewa,pana mandhari nzuri na milima iliyotulia.Think of it ukipakubali ntakupa details zaidi.Pole kwa kuuguliwa!

Toa details hapa mkuu wote tufaidike
 
Mbu and Kongosho, I love udzungwa! Kuna hotel iko just outside the admin ya hifadhi, its friendly. Ndani ya hifadhi hakuna tourist bandas, just camping.

Mtoa mada, kama unapenda camping ama unataka kujaribu it is the cheapest method. Lakini kama una usafiri hata mikumi game drives na tourist bandas ni cheap sana. Accomodation was 5,000 tshs per head per day, kulaza gari 5,000 na mnapata tour guide kwa tsh 1000 per day. Gharama ni usafiri tu.
 
Last edited by a moderator:
Maega, katika hao wanaolala na njaa wewe umelisha wangapi? kwani kama kuna wanaolala na njaa mtu usipumzike? hata vidole havilingani? tunafanya mambo kutokana na nafasi na uwezo, hatuwafanyii kazi hao walala njaa. kama hamna kitu cha kumshauri si mnyamaze.

Kuna watu hapa Tanzania wanalala na njaa wewe unazungumzia vacation!
 
udzungwa na usambara mts hapo sawa kabisa.

Ngoja nianze kuweka hela kwenye kibubu hadi mwakani mida kama hii ntakuwa nshapata.

Asante kwa info hizi.

Hiking, mountain climbing, wind surfing, scuba diving, etc suits you better. Location ndio 2nd choice ya wapi unatamani na utamudu kwenda... Iwe camping Irente View kule Mt usambara, au nature trail Udzungwa falls, au hata snorkelling fukwe za Bawe Island, au Mnemba...😉
 
Back
Top Bottom