MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Heshima kwenu brothers and sisters,Ninaomba tushauriane kuhusu sehemu nzuri kwa vacation hapa Tanzania ambaye bei yake ni reasonable kwa kipato cha kati, this year is kind of worst year of my life. alot of complicated things in my mind and i have to refresh before returning to work
nahitaji kwenda sehemu ku relax atleast for a week kumalizia likizo yangu maana karibu yote imeishia kumuuguza b mkubwa.naomba mapendekezo ya sehemu nzuri zenye cheap rate ambayo nikienda mwenyewe or with my fiancee nitamudu na ambayo kweli nitarefresh na kurudi kibaruani na nguvu mpya. maana nimechoka sana ndugu zangu, my budget ni lak 6 to 7 for 4 or 5 days exluding transport.