mwanankiya
Member
- Apr 5, 2012
- 11
- 0
aaaah...kwahiyo mtu atoke jasho weeeeeeeeeee,mwisho wa siku aanze kuji-stress kuhusu tumbo la mtu mwingine...doh!
Kuna watu hapa Tanzania wanalala na njaa wewe unazungumzia vacation!
Lipia kodi ya chumba miezi 6, zinazobaki mnunulie mama na wadogo zako zawadi,utapata faraja zaidi na hata mungu atakurudishia mara dufu ya ulichotoa
jamani sipendi vakesheni za kuangalia wanyama, sijui nina matatizo gani.
Lol! Kwa sababu na ww ni mnyama mwenzao. How long is ur tail nibunie kama wewe ni tembo ama nyani?
Msalimie mateka. Nilikuambia yule mganga wangu kiboko atii!
mkia wangu ni 'stunted tail' siwezi upima kwa sasa.
Nafurahi kuangalia bahari, mawingu, mountains, valleys, rocks, and all geographical features lol
mateka bado kasinzia.
Nenda Lushoto kama upo dar itasaidia pia kuchange hali ya hewa,pana mandhari nzuri na milima iliyotulia.Think of it ukipakubali ntakupa details zaidi.Pole kwa kuuguliwa!
Kuna watu hapa Tanzania wanalala na njaa wewe unazungumzia vacation!
Hiking, mountain climbing, wind surfing, scuba diving, etc suits you better. Location ndio 2nd choice ya wapi unatamani na utamudu kwenda... Iwe camping Irente View kule Mt usambara, au nature trail Udzungwa falls, au hata snorkelling fukwe za Bawe Island, au Mnemba...😉