Marafiki tushauriane kuhusu sehemu nzuri na cheap kwa vacation

yaani kuna watu wako serious kweli yaani hawana hata muda wa kuwawowa wake zao eti wanaganga njaa, khah!

 
Kuna watu hapa Tanzania wanalala na njaa wewe unazungumzia vacation!

People had troubles since the pope was an altar boy!! matatizo yapo na hayaishi leo,vacation ni muhimu!
 
mkuu kwa mapumziko ya ukweli vuka bahari nenda zenji. Nakushauri ukifika nenda Nungwi km 100 toka stone town au nenda paje umbali huohuo nakuambia hutajutia fedha zako. Kuna hoteli nyingi kama Amaan bungalows, nungwi in, paje by night etc. Bei ni kuanzia dola 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…