Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kabisa, nchi hii ina umpumbavu mwingi, makosa ya wazi kabisa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri.
Mfano, hii ishu ya tozo January aachwe kabisa, ilipoondolewa mlijamba furaha Leo imerudi mnajamba unafiki na maushuzi, Makamba is currently doing what we call long term plan, the ministry has its work schedule, he should be protected. Mpango kazi wa miaka mi5 kazi ziendelee, mende wote wanaotaka kumchafua waende wakaoge maji chumvi lake eyasi.