Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Zumbe Uzahumua Zeze?Asante kwa kuja January is there to stay vichwa vya panzi tunawajua mpaka wiki inaisha mabwege yashapoa tuliii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zumbe Uzahumua Zeze?Asante kwa kuja January is there to stay vichwa vya panzi tunawajua mpaka wiki inaisha mabwege yashapoa tuliii.
uletumpa iwe chikalaZumbe Uzahumua Zeze?
Makamba mimi sina uhysiano nae but ukweli ni wazi ni waziri smatt sanaHello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kabisa, nchi hii ina umpumbavu mwingi, makosa ya wazi kabisa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri.
Mfano, hii ishu ya tozo January aachwe kabisa, ilipoondolewa mlijamba furaha Leo imerudi mnajamba unafiki na maushuzi, Makamba is currently doing what we call long term plan, the ministry has its work schedule, he should be protected. Mpango kazi wa miaka mi5 kazi ziendelee, mende wote wanaotaka kumchafua waende wakaoge maji chumvi lake eyasi.