Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Sawa mzee yusufu nimekusikia. Mpiganie mwanaoHello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kbsa, nchi hii inaumpumbavu mwingi makosa ya wazi kbsa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri, mfano.hii ishu ya tozo January aachwe kbsa, ilipoondolewa mlijamba furaha Leo imerudi mnajamba unafiki na maushuzi, Makamba is currently doing what we call long term plan, the ministry has its work schedule, he should be protected. Mpango kazi wa miako mi5 kazi ziendelee, mende wote wanaotaka kumchafua waende wakaoge maji chumvi lake eyasi.
Kalambe asaliHello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kbsa, nchi hii inaumpumbavu mwingi makosa ya wazi kbsa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri, mfano.hii ishu ya tozo January aachwe kbsa, ilipoondolewa mlijamba furaha Leo imerudi mnajamba unafiki na maushuzi, Makamba is currently doing what we call long term plan, the ministry has its work schedule, he should be protected. Mpango kazi wa miako mi5 kazi ziendelee, mende wote wanaotaka kumchafua waende wakaoge maji chumvi lake eyasi.
ChawaHello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kbsa, nchi hii inaumpumbavu mwingi makosa ya wazi kbsa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri, mfano.hii ishu ya tozo January aachwe kbsa, ilipoondolewa mlijamba furaha Leo imerudi mnajamba unafiki na maushuzi, Makamba is currently doing what we call long term plan, the ministry has its work schedule, he should be protected. Mpango kazi wa miako mi5 kazi ziendelee, mende wote wanaotaka kumchafua waende wakaoge maji chumvi lake eyasi.
CCM _mwendazake, CCM_hii, CCM _sukumagang, CCM _mpina, CCM _makambaNashangaa wanamuita dogo smart
Kwa hio wenye wivu nae wanamdanganya ili avae tope au huu ndio muda wa hata mama yenu kuiba ili awe bilionea ataibaje ? Tumieni akili ubilionea wa marais wastaafu hauji kibwege use 360%January hana mpango wa muda mrefu wala wa muda mfupi kwani hajui alifanyalo!! Angekuwa na mpango wa muda mrefu asingekuwa anadanganya danganya kuwa ukatikaji wa umeme ungekwisha baada ya siku kumi; halafu baada ya hapo anakuja na hadithi za kubadirisha vikombe !!! Mambo ya mafuta ndiyo yamemchanganya kabisa hana mbele wala nyuma because he is ignorant of the industry!
Umejisahaulisha mifuko ya Rambo vipi ipo mtaani ? Ushabiki wa kishetani muache, watu wanataka kupiga pesa wamempa kijana atafute expenditure items na kashawapa budget items, workplan na cost, Bi tozo mfukoni nje na urais alikua mweupe pamoja na kupewa safari za hapa na pale, Mama anaupiga mwingi yeye anacheka ila sifa ya kifedhuli hii ina kejeli nyingi sanaJanuary Makamba ni kama fuko la kinyesi. Halibebeki, halifichiki wala halipendeki.
Yani huyo naturally ana haiba ya kuchukiwa, hata afanye nini. Yeye na Steve Nyerere tofauti yao ndogo sana. Hakuna watalo fanya likakubalika bila kupingwa.
Hamtamuweza January msiojua viroba vizito vya uwaziri, rais kama hajui ABC za maswala mengi ni shida sana ngoja tuwape muda mtaelewa, hii nchi kwa sasa iko hoi kiuchumi nyie pigeni kelele mmesahau mapato ya tozo za miamila wabongo akili fupi na upanzi mwingiJIK Yenyewe Kumsafisha Haiwezi Je Anayetumwa Ataweza
Asante kwa kuja January is there to stay vichwa vya panzi tunawajua mpaka wiki inaisha mabwege yashapoa tuliii.Duuh
Upendo haulazimishwi aloo.
Ndio kazi yetu na tupo sana alipofuta tozo sifa mdebwedo oooh Mama anaupiga mwingi tozo imerudishwa ushuzi mwingi January hafai akili matope watz.Chawa
Tupo sana rights fighters beyond borders (RFBB)Chawa kazini.
Kwa hio wenye wivu nae wanamdanganya ili avae tope au huu ndio muda wa hata mama yenu kuiba ili awe bilionea ataibaje ? Tumieni akili ubilionea wa marais wastaafu hauji kibwege use 360%