Marafiki wa kike wafaida

Marafiki wa kike wafaida

Nindo

Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
71
Reaction score
117
Mimi ni kijana wa kiume,ninaemani katika urafiki na marafiki kuwa ni watu muhimu san na Maisha ni watu na watu ndo maisha.ningependa kupata marafiki wa kike wa faida,tujumuike katika kupambana na maisha.

Karibuni pm
 
Urafiki wa faida tunakuja mkuuu jaman bahat hiz
Aise jamaa utapata wengi sana kama huyu ambao jamaa zao wamezima simu kama mimi, tunapatikana humu tu simu tumefyuuuu
leo hadi tarehe 2/1/2018.
Hongera kwa kiwanda kipya
 
Ni kitu kizuri kwa kweli... kama utakua na nia nzuri
 
Mtoa mada ni mjanja sana...

Dhumuni lake kaliweka kwa kiswahili limeonekana la kawaida sana...

Ila anamanisha "Friends with Benifit" ni hatari...


Cc: mahondaw
 
Natamani hili somo la kuzoza lipitishwe rasmi mashuleni, ili madomo zege waweze kupungua aiseeeee....[emoji12] [emoji12]
 
Natamani hili somo la kuzoza lipitishwe rasmi mashuleni, ili madomo zege waweze kupungua aiseeeee....[emoji12] [emoji12]
Anyways umetumia haki yako ya kikatiba ya kutoa maoni.Lakini hujatumia ipasavyo kazi ya ubongo wako kukibeba kiwiliwili chako
 
Back
Top Bottom