marafiki wakubadilishana mawazo

marafiki wakubadilishana mawazo

mullar

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
83
Reaction score
8
naitaji marafiki wakubadilishana mawazo kwa aliye tayari ani chek
 
Wewe ni mtu wa jinsia gani?...hapa ni jukwaa la love connect sasa unataka kubadilishana na watu wa aina gani na mawazo obvious yatakuwa ni ya mahusiano....more details pliz ikiwamo ya umri pia na marital status.
 
Czani kama ivyo vyote vina maana kama uko interested nitafute if not unaweza ukawa mpole
 
Back
Top Bottom