Maeneo gani tena hayo!! mana posta vyakula vy buku kibaao.Utani unaokaribia na ukweli sio mzuri hata kidogo! Yote tisa, kumi pale anapojifanya yupo bze lunch tym ili aonekanae amekosa muda wa kwenda kula kumbe hana mambo!!! Mitaa mingine; sio fair kabisa kuweka ofisi; eti unakuta msosi wa bei rahisi ni wali wa sh.1,500/=!!! heri nimeondoka kwenye ofisi ya mitaa ile!
Maeneo gani tena hayo!! mana posta vyakula vy buku kibaao.
<br />Kaka maisha ya Dar si sawa na ya kwenu ulikotoka, kukaribisha mgeni ni mzigo mzito sana. Watu tunawakimbia hata ndugu sembuse wewe rafiki!
<br />
<br />
preta mm nakuja mjini next week na hela yangu ya mavuno,naomba nikutafute unionyeshe mji 2le bata,nipm pls
Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu....
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
Mhhh,Uzoefu wangu ni kwamba Dar ni dunia nyigine...Watu wanaishi kama wako kwenye machimbo ya mawe na huko kwenye mashimo Oxygen haitoshi....Ni jambo linalositikisha ila kama mtu ni mwelewa na mwepesi wa kusoma mazingira, unaweza kuwapotezea na kusubiri hadi waje mikoani..Kuna baadhi ya washikaji heshima imerudi mara tu baada ya kutemblea huku mikoani na kupigwa dinner na mazaga zaga mengine!
DC nimependa maelezo yako.... but umeniacha njia panda hapo... heshima imerudi kivipi?? yaaani akukimbie alafu akija kwako mkoani ndo heshima irudi (au in the sense majumbani mwao mwa ukweli??)
Hadithi inayokuja, ni ya sungura sikia,
alitoka siku moja, porini kutembelea,
akayaona matunda, mtini yameenea,
mtini yameenea, sungura nakuambia............
........................................
..................................
Sungura karuka ruka, mtini akarukia,
mwisho wake akachoka, kachoka hata mkia,
kwenye mti akatoka, pembeni akasogea,
pembeni akasogea, sungura nakuambia!
Dah!! e bana nimesahau muendelezo wa hili shairi; wadau naomba mnikumbushe basi!! Au kwenye vitabu vya watoto wa siku hizi hamna hili shairi? manake nataka nifikie pale ambapo baada ya mzee sungura kuruka sana na kushindwa kuyapata matunda; mshikaji ikabidi aponde "sizitaki mbichi hizi!"
Watu wa JF mbona wapenda meeting new members... you know the wrong JF members basi....lol
mh! 350!! embu niagizie mana kuna kadada saa z lunch huwa kananiganda ganda nikapeleke huko..UKIONA hivi sasa nina uso wa bashasha ni kwamba nipo mitaa ya posta ambako ugali mchicha robo napata kwa sh.350/=!
preta mm nakuja mjini next week na hela yangu ya mavuno,naomba nikutafute unionyeshe mji 2le bata,nipm pls