Marafiki wangapi uliokuwa nao wakati unasoma bado unao?

Mkuu kuwa na rafiki haimaanishi ndio unamwambia kila kitu chako. Mimi pia niko hivyo, kuna vitu huwa vinabaki kuwa vya kwangu binafsi halafu kuna vile ambavyo nashirikisha watu
 
Mmoja

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…