The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Tutaona kama wewe ndo utaamua au mdau Rozi! turn right, go straight, 200meters. then (:kiss::hug::hug::first:) then :car:
Hee! ulikuwa wapi swty hat! siku mingi no see ya!
Hommie baelezee bana unafikiri kazi tulioifanya ya kutembea na picha ya Mh. Mnyika na Mh. Mdee kila Bar huku tukiimba Chadema tunapanda mlima......CCM wanashuka mazima haikua kazi ndogo atii.....😛eace:mpaka sasa nimeshapata pm 15 watu wanaulizia kama niutani au serious
sasa mimi sitawajibu kwa pm,na wajibu hapa hapa:
NINYI MLIOTUMA PM HIVI NIMEWAHI KUWA WATANI ZENU?
Na anonymous atapanda tukutuku ya nani?ivi Big, Huyo Rose atapanda tukutuku la nani hasa?:israel:
Haya bintiz wa JF
nimeoa na nimeruhusiwa kujiunga na safari.
natafuta binti wa kunidanganya tukiwa safarini huko.
Sharti lizingatiwe tafadhali
Hommie baelezee bana unafikiri kazi tulioifanya ya kutembea na picha ya Mh. Mnyika na Mh. Mdee kila Bar huku tukiimba Chadema tunapanda mlima......CCM wanashuka mazima haikua kazi ndogo atii.....😛eace:
Hommie baelezee bana unafikiri kazi tulioifanya ya kutembea na picha ya Mh. Mnyika na Mh. Mdee kila Bar huku tukiimba Chadema tunapanda mlima......CCM wanashuka mazima haikua kazi ndogo atii.....😛eace:
Hiviya kwenda dodoma inapitika kwa pawa tila....?
Lets wait and see........natumai Observer Kimey atawaletea taarifa za :rip:digi digiivi Big, Huyo Rose atapanda tukutuku la nani hasa?:israel:
Naomba mniombee Ruhusa kwa mama big aniruhusu nije kuwa sehemu ya change.
Hiviya kwenda dodoma inapitika kwa pawa tila....?
"The great pleasure in life is doing what people say you cannot do."🙂........Kama ujuavyo mpenzi mambo ya kampeni yalinifanya niwe busy mno.
U know what.....
tunaweza kuleta change, tukawa sehemu ya change, change kubwa zaidi, kwa kufanya vitu kivitendo zaidi. Kwenye kudifferentiate, tunazungumzia delta....that small change we can make to turn around the whole big thing...
hili ni mojawapo, na niseme tu kwamba ni idea ambayo tumekuwa nayo muda mrefu, so nawaencourage kwa wale ambao watapenda kwenda wawasiliane na The King kwen PM kwa ajili ya logistic zaidi.
Tupo pamoja sana
yeye tunamkodishia charter!Na anonymous atapanda tukutuku ya nani?