Marafiki wengi wa Anthony Mtaka ni wanachadema, akiacha arrogance (ujivuni/ujuaji) ni kiongozi mzuri

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.

Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.

Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka

Aache hayo, atasonga mbele.
 
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema.

Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka

Aache hayo, atasonga mbele.
Kwani hao Chadema ni warundi ? Umeandika upumbavu mtupu hapa. Sukuma Gang bado mnataka kuendekeza ule ujinga wa yule mwovu aliyekuwa anawaona Chadema kama mashetani? Mtaka ni mmoja wa MaRC wenye upeo mkubwa sana wa uongozi. Kwanza umewadharau wana Njombe kwa kuona Mtaka kupelekwa huko ni adhabu.
 
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.

Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.

Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka

Aache hayo, atasonga mbele.
Unamsingizia na kumvunja moyo kwani ametambua watu sahihi kwa karibu nao ni Chadema 🤔
 
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.

Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.

Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka

Aache hayo, atasonga mbele.
Wewe kama sio mganga wa kienyeji basi utakuwa mchawi 😀
 
Tuna tengana kwa sababu ya kiitikadi,mbona hatutengani kwenye tozo,kwa kuwa Malisa amekuwa akisifu utendaji wake imekuwa kero sana kwa wanaccm. Hivi Mwl Nyerere asingeanza na mshikamano wa kitaifa,hii nchi ingekuwaje.
 
Hoja nyepesi sana mtoa maada, mtu kua chadema sio kosa wala sio kupotea, kafanya choice yake aheshimiwe kama wewe ulivofanya choice yako.
 
Lakini hata mimi hua naona vijana wa upinzani wanaakili sana na kujiamini kwenye maisha kuliko wale wa ccm ambao ni kujipebdekeza muda wote na kusifia ujinga hakuna kiongozi atapenda kua na urafiki na watu wajingawajinga eti kisa wa chama chake haipo hiyo
 
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.

Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.

Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka

Aache hayo, atasonga mbele.
Kumbe unamfahamu vizuri. Ana dharau, ubabe na majivuno sana huyu kakaangu. Apunguze au aache ili kutengeneza wafuasi wengi wanaomkubali
 
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.

Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.

Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka

Aache hayo, atasonga mbele.
Umejuaje yuko kwenye hayo magroup? Au na wewe uko humo?
 
Wewe usitake kuficha racket yako ya kuchakachua mbolea na utapeli wako kwa wakulima wa parachichi kwa kumchafua RC. MMEUMBUKA. Sasa unaona kimekulalia unaanza kumchafua baba wa watu
 
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.
Mbona marehemu alitumia fedha nyingi za walipakodi kununua wapinzani, na hukumkemea?!
 
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.

Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.

Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka

Aache hayo, atasonga mbele.
Mbona maandishi kama yanaashiria wivu wa mapenzi vile au roho mbaya yenye husda ndani yake kibaya zaidi maandishi yanaonekana wazi yamebeba taswira ya ubaguzi wa utu wa mtu kisiasa

Kwani shida iko wapi ?
 
Back
Top Bottom