Kwani hao Chadema ni warundi ? Umeandika upumbavu mtupu hapa. Sukuma Gang bado mnataka kuendekeza ule ujinga wa yule mwovu aliyekuwa anawaona Chadema kama mashetani? Mtaka ni mmoja wa MaRC wenye upeo mkubwa sana wa uongozi. Kwanza umewadharau wana Njombe kwa kuona Mtaka kupelekwa huko ni adhabu.Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema.
Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka
Aache hayo, atasonga mbele.
Unamsingizia na kumvunja moyo kwani ametambua watu sahihi kwa karibu nao ni Chadema 🤔Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.
Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka
Aache hayo, atasonga mbele.
Wewe kama sio mganga wa kienyeji basi utakuwa mchawi 😀Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.
Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka
Aache hayo, atasonga mbele.
Tuna tengana kwa sababu ya kiitikadi,mbona hatutengani kwenye tozo,kwa kuwa Malisa amekuwa akisifu utendaji wake imekuwa kero sana kwa wanaccm. Hivi Mwl Nyerere asingeanza na mshikamano wa kitaifa,hii nchi ingekuwaje.Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.
Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka
Aache hayo, atasonga mbele.
Kumbe unamfahamu vizuri. Ana dharau, ubabe na majivuno sana huyu kakaangu. Apunguze au aache ili kutengeneza wafuasi wengi wanaomkubaliKuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.
Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka
Aache hayo, atasonga mbele.
Siyo jazba bali umeandika upuuziPunguza jazba
Umejuaje yuko kwenye hayo magroup? Au na wewe uko humo?Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.
Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka
Aache hayo, atasonga mbele.
Wewe usitake kuficha racket yako ya kuchakachua mbolea na utapeli wako kwa wakulima wa parachichi kwa kumchafua RC. MMEUMBUKA. Sasa unaona kimekulalia unaanza kumchafua baba wa watuKuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.
Kinachomponza ni arrogance na ujivuni, na kimsingi, huko kwenye asili yake Wana tabia hiyo sana i.e. akina yego Jaji na yego chikaka
Aache hayo, atasonga mbele.
Mbona marehemu alitumia fedha nyingi za walipakodi kununua wapinzani, na hukumkemea?!Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema wakichangishana michango, na ni mtu wa karibu na wanachadema. Yanamchukulia muda anashindwa kushughulikia shida za wananchi.
Mbona maandishi kama yanaashiria wivu wa mapenzi vile au roho mbaya yenye husda ndani yake kibaya zaidi maandishi yanaonekana wazi yamebeba taswira ya ubaguzi wa utu wa mtu kisiasaKuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.