CASH MONEY BROTHER-CMB
Member
- Apr 6, 2020
- 21
- 99
Ninazo mkuu namba zakeMKUU UNAYO MAWASILIANO YA HUYO MAMA? NAELEKEA MARA WIKI IJAYO
Hatarihahaha, sema niliondokaga bunda mda mrefu ila ningepeleleza ningewajua namimi ningetafuta mtoto wao wa kike nikajisevia kama angekuwa na ukubwa na shape shawishi kwangu...ningempeleka mterani!!
NITUMIE PM MKUU UNAFAA KUINGIA CHAMA CHA MABAHARIA MKUUNinazo mkuu namba zake
Wanataka wamkomoe mzeeHao jamaa waache utoto..wametunukiwa wajilie tu kimyakimya..hakuna marefu yasiyo na ncha
Nadhani mwisho wa siku wataishia kujikomoa wenyewe tu. Hawajakua bado !!!
Kuoa mkuu inabidi uwe tayari kwa kila kitu na ujiandae hasa, siyo kiuchumi tu, bali hata kisaikolojia na uwe na kifua hasa. Vinginevyo waweza ishia kuchukua maamuzi magumu mpaka dunia ikakushangaa [emoji16][emoji16][emoji16]'Hua nikifikiria vitu Kama hivi...naona kabisa kuoa na mimi, tunazidi pigana chenga."
Alisikika mlevi mmoja akisema nyuma ya dirisha langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali ni moja hapa.Kuoa mkuu inabidi uwe tayari kwa kila kitu na ujiandae hasa, siyo kiuchumi tu, bali hata kisaikolojia na uwe na kifua hasa. Vinginevyo waweza ishia kuchukua maamuzi magumu mpaka dunia ikakushangaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawajui kibumbu hakikomolewi na ukute mtoa mada ni mmoja wao hao 3Nadhani mwisho wa siku wataishia kujikomoa wenyewe tu. Hawajakua bado !!!