Marafiki zangu watatu wametembea na mke wa mtu, sasa wanataka mumewe ajue

Ujana maji ya moto.. Fainali uzeeni
Jr[emoji769]
 
Waambie hao madogo wa BK waache upumbavu,wakuja kufa bure,chezea vitu vyote lakini sio mke wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mavijana mnayafanya! hivi mtakuwa wajinga hata lini?
 
Kipimo upimacho ndio na wewe utapimiwa.

Ipo siku yao nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa la huyu jamaa ni kutoa taarifa au kuanzisha uzi humu??
Anashambuliwa hasa. Ndio maana watu wakiona hata uhalifu anashindwa kupeleka taarifa polisi
Likely humu polisi ni wengi wanaosumbua watu waliowaletea taarifa ya uhalifu
 
Ndugu yangu nchi hii wajinga hawataisha
 
Hayo ndio maendeleo ya kijinga ya watu wa hovyo nchi hii. Kujisifia kuvua chupi
 
ila walimu mmekula tunda la masjara aiseee
 
so sad! vijana tunaendekeza ujinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…