Marafiki zangu watatu wametembea na mke wa mtu, sasa wanataka mumewe ajue

Usianzishe vita usio imudu tafakari


COVID19🦠🦠🦠
 
Siku hizi mambo ya namna hii sio ya kujisifu, unaweza kudhani umemkomoa mtu kumbe umebebeshwa zigo ukajuta maisha yako yaliyobakia yote.
 
Sio busara kabisa kwa walichofanya ukimwi itakua ni vigumu Sana kupambana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…