Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.

Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
 
Walichoka kuokota mia mia za wanafunzi,,ss wanachota mamilioni tu Kwa waumini wao
 
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.

Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
Jamani
 
Hata makanisa nako ni sehemu za mazingaombwe na viini macho vile vile.

Kuna siku nilikuwa namsikiliza Dr. Wilbroad Slaa alikuwa anaongelea maisha yake, akasema katika mafundisho aliyoyapata kupitia kanisa amefundishwa mpaka mazingaombwe, viini macho, hypnotism etc.

Kwa hiyo hayo mazingaombwe haya kanisani yapo na ni sehemu rasmi kabisa ya mafunzo waliyokuwa wanapewa makasisi wa Kikatoliki kama Dr. Slaa.
 
Eeehh
 
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.

Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
Wewe sasa unayafanyia hapo mtaa wamboga mboga.
 
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.

Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
Acha ujinga weee, taja mmoja tuu hapa kuthibitisha.
 
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.

Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
Na wanaendelea na mazingaombwe yao!
 
Akili mu kichwa, wajinga ndiyo waliwao.
 
Back
Top Bottom