Aiseewanatumia mbinu hizo hizo.
makala hii inafafanua kwa wale wanaopenda kujua;
View: https://youtube.com/playlist?list=PLAZ27CqbEinbT_4FuyscG70uMKSyPrIsY&si=toJLt0VusYhn2bx9
JamaniWadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
Sasa hv watunishi wamebadiliashwaNdio
Hata makanisa nako ni sehemu za mazingaombwe na viini macho vile vile.Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
EeehhHata makanisa nako ni sehemu za mazingaombwe na viini macho vile vile.
Kuna siku nilikuwa namsikiliza Dr. Wilbroad Slaa alikuwa anaongelea maisha yake, akasema katika mafundisho aliyoyapata kupitia kanisa amefundishwa mpaka mazingaombwe, viini macho, hypnotism etc.
Kwa hiyo hayo mazingaombwe haya kanisani yapo na ni sehemu rasmi kabisa ya mafunzo waliyokuwa wanapewa makasisi wa Kikatoliki kama Dr. Slaa.
Wewe sasa unayafanyia hapo mtaa wamboga mboga.Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
Acha ujinga weee, taja mmoja tuu hapa kuthibitisha.Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao
Huyu atakuambia ze bul dozerAcha ujinga weee, taja mmoja tuu hapa kuthibitisha.
Na wanaendelea na mazingaombwe yao!Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo katika makanisa yao