Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
😄😄😄Nimecheka....[emoji23][emoji23][emoji23] dada, yule Ex akati anajifanya kutaka turudiane, nilimjibu simple tyuuh.
"Wee kiumbe wa watu usinilazimishee niende Jelaa, jinaii niliyonayo inatoshaa, hii ya mauaji siihitaji"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajarudiaa tenaa.
Kwanza hata muda wa kuzungumza naye yote hayo umeupata wapi?