Marafiki zetu mtusamehe sana

😄😄😄Nimecheka....

Kwanza hata muda wa kuzungumza naye yote hayo umeupata wapi?
 
kakufanyaje kikubwa ndugu hadi umkane hvyo?
Kwanza nichekeee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kifupiii tyuuh, nilijitoa kwake kwa hali na mali, nilijinyima mie ili yeye afurahii na ahisi anapendwaa, ila alichokujaa kunifanyiaa!!!

Baas itoshe kusemaa, mjanja yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
pole sana,ujue wanadamu tunatofautiana alafu wengine unapijitoa kwao wanadhani unajipendekeza kumbe ni kujali na watu wa aina hyo wapo katika jamii kikubwa ni umeshamuepuka tizama mbele,ubarikiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…