Marafiki

Marafiki

Mipaka ipo sana tena hata home kama kuna issue wanakuwa wa kwanza kufika sherehe, misiba nk nami kwao hivyo hivyo
Lakini jamaa haamini kama tunaishia hivyo wajameni
kwan ukipunguza au ukiacha na uyo jamaa urafiki utapungua nin?just for the sake of ya marriage.hubby hapnes?
mpe aman ya moyo mumeo ...achana unarafiki km upo bachelor...au urafiki ni mzito zaid kuliko aman ya mumeo?
 
labda tabia zako ni za mahska ndo mana hueleweki
 
unajua kwanza maana ya neno rafiki?maana mswali lako ni kama huelewi maana yake
 
Desidii,

Kama unaweza kuogelea kwenye mito mingi kwa wakati mmoja ruksa. Ila angalia usimkwaze mdau mwenzio!
 
urafiki wa jinsia tofauti...niwahi kujaribu ni ngumu...madem huwa wanataka kila kitu ufanye wewe...kupiga cm, msg, kumtembelea na mambo mengine ka hayo....!
 
kwan ukipunguza au ukiacha na uyo jamaa urafiki utapungua nin?just for the sake of ya marriage.hubby hapnes?
mpe aman ya moyo mumeo ...achana unarafiki km upo bachelor...au urafiki ni mzito zaid kuliko aman ya mumeo?

Hapana si kwa nia mbaya marafiki wa kawaida sana sasa niache hata kuongea na watu kisa mume??? Kweli
 
unajua kwanza maana ya neno rafiki?maana mswali lako ni kama huelewi maana yake

Nieleweshe tafadhali mkuuu inawezekana kabisa sijui wala sielewi a wala b
 
labda tabia zako ni za mahska ndo mana hueleweki

Tabia zangu si za mashaka hata kidogo ila vile mie sipendi umbea ndo maana
nina rafiki wa kiume wengi kuliko wa kike
 
urafiki wa jinsia tofauti ni urafiki wa mashaka. Kwanza ujue mnapenda ndio maana mpo marafiki kwa hiyo ni rahisi kuubadili huwa urafiki wa kawaida kwenda kwenye..........tunaita kuu-upgrade.
 
urafiki wa jinsia tofauti ni urafiki wa mashaka. Kwanza ujue mnapenda ndio maana mpo marafiki kwa hiyo ni rahisi kuubadili huwa urafiki wa kawaida kwenda kwenye..........tunaita kuu-upgrade.
well defined mkuu, urafiki wa jinsia tofauti ni urafiki wa mitego. labda kama mdada wenyewe "bullet proof" , hapo haina shida lakini kama mdada kakicheka unajiona kwenye meno yake. khaaaa! wabakaji wapunguziwe adhabu jamani!
 
Mimi nafikiri wanaume wengi huwa hawapendi kabisa wake zao wawe na marafiki wa kiume.....kuna kawivu fulani hivi, unaweza tu ukaona hata majibu wanayotoa wakaka wa humu JF...:roll:
 
Mimi nafikiri wanaume wengi huwa hawapendi kabisa wake zao wawe na marafiki wa kiume.....kuna kawivu fulani hivi, unaweza tu ukaona hata majibu wanayotoa wakaka wa humu JF...:roll:

sio kawivu. wataalam wanasema mwanamke anapenda kwa mazowea, hivo mwanamke akimzoea mwanaume sana kinachofatia ni kumpenda na akimpenda nazani unajua nini kitafata ...................
 
sio kawivu. wataalam wanasema mwanamke anapenda kwa mazowea, hivo mwanamke akimzoea mwanaume sana kinachofatia ni kumpenda na akimpenda nazani unajua nini kitafata ...................

May be kuna kauukweli hapo.....sijui!
 
Kwa maoni yangu hakuna ubaya lakini wakati mwingine urafiki huo huweza kugeuka na kuwa mapenzi baada ya mmoja wa wahusika kutoheshimu mipaka ya urafiki.

Ina maana hatua ya kutoka ktk urafiki na kuwa wapenzi ni kutohishimu mipaka ya urafiki?
 
heheheh desidii hao marafiki waheshimu mipaka ya ndoa yako
 
Si marafiki wa humu marafiki wa nje ya hapa asiyenielewa ni muzeee wangu

Ni kweli kabisa, wazee wengine wanakuwa wakali/watata katika hii pengine ni kutokana na uzoefu walioupata kutokana na kuangalia urafiki wa wengine au kwa kujiangalia yy mwenyewe wakati alipokua na age sawa na yako alikuaje na hao rafiki zake. Lkn hawezi kukukataza kama ktk mtazamo wake ubaya haupo.
 
Haya bana nakubali maoni yako Mkwaruzo
 
labda tabia zako ni za mahska ndo mana hueleweki

Hili nalo neno!! Kwa sababu kama kweli tabia yangu ni njema, sifanyi mambo kwa hila wala udanganyifu. Na huyo mume anakuelewa hivo, na hao marafiki anawafahamu. Sioni sababu ya kunizuia kuwa na marafiki, labda kama hao marafiki watanifanya niwe na tabia mbaya.

Jamani dunia hii tuishi kwenye kisiwa kweli? Yani mi na mume tu!! Duuu jamani kuna marafiki wakusaidia mambo na kushirikiana mambo fulani fulani bwana. Kama furaha na misiba.

Mi sijui vizuri lakini mmmmh!!!
 
Back
Top Bottom