Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Hakuna ubaya ila uwe na mipaka
Si marafiki wa humu marafiki wa nje ya hapa asiyenielewa ni muzeee wangu
hamna urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke lazima iwepo association ya jambo fulani(kazi biashara soka uanaharakati,ulevi,kuabudi nk)Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta
hamna urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke lazima iwepo association ya jambo fulan(kazi biashara soka uanaharakati,ulevi,kuabudi nk)
Wakati mwingine tunataka sana kuwa uhusiano ulioutaja lakini tatizo huwa linakuja kwenu maana hamkawii kulalamika,"huyu jamaa nimekuwa karibu naye na nimemuonesha dalili zote lakini wala hanioni.."
St. PM, mimi nafikiri wanaume wanakosea sana, yaani mdada ukawa rafiki na mwanaume (hata kama huna nia mbaya), hawakawii kuanza kusema, "huyu naye anajipitisha pitisha kwangu"..mhhhh!!!!
Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta
hakuna urafiki wa hivyo hata siku moja sababu mkigusana tu tayari shoti ya umeme hisia zinaamka