Daniel_Makala
Member
- Oct 3, 2024
- 18
- 31
Naitwa dany from singida tanzania (25) naitaji rafiki wa jinsia yyt kunzia 18-25. Mtu awe serious na anaejitambua kwaajili yakupeana company (0746893854) whatsap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤒🤒Natia dany kutoka singda (25) natafuta rafiki wa jinsia ya kike kunzia 18-25. Seriaz kwani nipo mpweke sana 0746893854 whatsap
Mm sjasema nataka mpnz wakupeana helaUna hela?
Utakulaje kitu ambacho huna ham nacho alaf wanawake ni best coz siwezkua nachat na boy everyday kuwa na urafiki na mwanamke inawezekana sana tu kwa mwanaume anaejua nn anafanyaIllegal fishing 😹😹
Wewe Dan ME kwann ukomalie kampani ya jinsia KE??
Halafu unadai urafiki sio wa kimapenzi, hivi unaweza kuufanya muwa km fimbo ya kutembelea na usiule?? Acha zako wewe 😹😹😹
Siku hizi hata rafiki wa kawaida bila ya hela hupatiMm sjasema nataka mpnz wakupeana hela
watu wanataka marafik wa kuwaita Tajiriiii 🤣Siku hizi hata rafiki wa kawaida bila ya hela hupati
Kuwa na rafiki mwenye hela ni raha sio rafiki anaelialia shida kila kukichawatu wanataka marafik wa kuwaita Tajiriiii 🤣