MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Hakika Mungu ni mwema kila wakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipofikia pale ulipoandika wanapokuwepo hata mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa na hata kupunguza makali ya vitu kupanda bei. !!! Nikaishia hapo kusoma !Tunazidi kujionea na wala hatusimuliwa, Tanzania ustaarabu ulianzia Pwani na kusema kweli ni moja kati ya vitu vya kujivunia kwenye siasa.
Pindi wawapo hata uchumi unaimarika, mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa hivyo kupunguza hata makali ya bei kupanda, sote ni mashahidi kile kipindi cha Mwinyi na Kikwete pesa ilikuwepo, na hata sasa vyuma vimeanza kulegea si kama awamu iliyopita.
Tukija kwenye siasa za demokrasia, Kwa Nyerere kuwa na mfumo wa chama kimoja ni Mwinyi alituletea mfumo wa vyama vingi. Kwa mkapa kuminya upinzani, Kikwete aliweza kuwatendea haki wapinzani na kweli kwenye chaguzi zikawajaza bungeni n ahata mijadala ya katiba mpya iliruhusiwa.
Nae raisi wa sasa Samia Suluhu Hassan anaendelea kuproove kwamba marais wa kanda hizo wana nafuu.
• Ubinadamu: Baada ya shambulio la Lissu, Rais Samia bila kificho aliamua kuweka siasa pembeni akaenda kukutana na Lissu na kumjulia hali dhidi ya unyama aliofanyiwa.
• Uhuru wa kujieleza: Amefungulia vyombo vya habari ikiwemo magazeti na kuweka mazingira rahisi ya vyombo vya habari, hapo utawala uliopita kufungua hata youtube tv ilianzishwa kodi ya milioni 2.
• Kutokomeza siasa za visasi: Wapinzani wengi waliofungwa kwa kesi za kubambikiwa na kukomolewa wameachiw huru.
•Lugha na vitendo vya staha: Hata kama mtu kakosea kuna namna ya kudili nae, kumdhalilisha kwa kumtukana ni mjinga / moumbavu ama matumizi ya nguvu ikiwemo viboko si vema,
• Amani: Nchi imerejea katika amani, watu wasiojulikana waliokuwa wanateka watu na kuwaua na kuwatelekeza fukweni kwa sasa ni kama wamepotea.
• Uchumi: Kiuchumi nako pesa imeanza kuonekana, Biashara nyingi zimeanza kurejea, hii hutoa fursa pia kwenye ajira.
• Mikutano ya hadhara: Kaweza kuondoa vifungo vilivyowekwa dhidi ya vyama vya siasa vya upinzani kufanya mkutano
Uchumi wa jakaya ulianza onekana 2008,inachukua muda kutengeneza uchumi,kuharibu rahisiNilipofikia pale ulipoandika wanapokuwepo hata mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa na hata kupunguza makali ya vitu kupanda bei. !!! Nikaishia hapo kusoma !
Kwani uwongo ??Nilipofikia pale ulipoandika wanapokuwepo hata mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa na hata kupunguza makali ya vitu kupanda bei. !!! Nikaishia hapo kusoma !
Kuna mwizi kuliko Ben!?Tatizo ni wezi sana
JKKuna mwizi kuliko Ben!?
Huwa Wana utu sio sawa na wale wengine wanaoangalia majambio ya mifugo mda wote 🤸🤸Tunazidi kujionea na wala hatusimuliwa, Tanzania ustaarabu ulianzia Pwani na kusema kweli ni moja kati ya vitu vya kujivunia kwenye siasa.
Pindi wawapo hata uchumi unaimarika, mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa hivyo kupunguza hata makali ya bei kupanda, sote ni mashahidi kile kipindi cha Mwinyi na Kikwete pesa ilikuwepo, na hata sasa vyuma vimeanza kulegea si kama awamu iliyopita.
Tukija kwenye siasa za demokrasia, Kwa Nyerere kuwa na mfumo wa chama kimoja ni Mwinyi alituletea mfumo wa vyama vingi. Kwa mkapa kuminya upinzani, Kikwete aliweza kuwatendea haki wapinzani na kweli kwenye chaguzi zikawajaza bungeni n ahata mijadala ya katiba mpya iliruhusiwa.
Nae raisi wa sasa Samia Suluhu Hassan anaendelea kuproove kwamba marais wa kanda hizo wana nafuu.
• Ubinadamu: Baada ya shambulio la Lissu, Rais Samia bila kificho aliamua kuweka siasa pembeni akaenda kukutana na Lissu na kumjulia hali dhidi ya unyama aliofanyiwa.
• Uhuru wa kujieleza: Amefungulia vyombo vya habari ikiwemo magazeti na kuweka mazingira rahisi ya vyombo vya habari, hapo utawala uliopita kufungua hata youtube tv ilianzishwa kodi ya milioni 2.
• Kutokomeza siasa za visasi: Wapinzani wengi waliofungwa kwa kesi za kubambikiwa na kukomolewa wameachiw huru.
•Lugha na vitendo vya staha: Hata kama mtu kakosea kuna namna ya kudili nae, kumdhalilisha kwa kumtukana ni mjinga / moumbavu ama matumizi ya nguvu ikiwemo viboko si vema,
• Amani: Nchi imerejea katika amani, watu wasiojulikana waliokuwa wanateka watu na kuwaua na kuwatelekeza fukweni kwa sasa ni kama wamepotea.
• Uchumi: Kiuchumi nako pesa imeanza kuonekana, Biashara nyingi zimeanza kurejea, hii hutoa fursa pia kwenye ajira.
• Mikutano ya hadhara: Kaweza kuondoa vifungo vilivyowekwa dhidi ya vyama vya siasa vya upinzani kufanya mkutano
JK na yule aloyepiga 1.5T nani Mwizi?
Nambie ndani ya CCM Nani asiye mwiziJK na yule aloyepiga 1.5T nani Mwizi?
Wote wezi ila yule mtu katili lizidiNambie ndani ya CCM Nani asiye mwizi
Ben aliuza mashirika yote ya umma na migodi kwa Bei za kutupa...aliowauzia wakamkopesha 500m,jk Kaiba nini!?
Kanywe maji ukalale,Kweli Makamba hata kufa, pamoja na watu wote wa pwani.
Waliomuua JPM wata tamalaki milele, waliosuka njama za mauji kwa simu zao mchana kweupe na kurekodiwa ni wastaarabu milele.
Simu za watu wa pwani zilidakwa , Makamba na Genge lake wote wa pwani
unaweza thibitisha mbele ya mahakamaKweli Makamba hata kufa, pamoja na watu wote wa pwani.