Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

Nilipofikia pale ulipoandika wanapokuwepo hata mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa na hata kupunguza makali ya vitu kupanda bei. !!! Nikaishia hapo kusoma !
 
Kwani uwongo ??

Kuna biashara na wawekezaji kibao kwa sasa baada ya wale jamaa wa task force kuondoshwa, wale jamaa walikuwa wanafanya biashara nyingi zife, alafu pia haya sekta binafsi zimeanza kurudi kwa kasi naskia hata fast jet ipo mbione kurudi
 
Huwa Wana utu sio sawa na wale wengine wanaoangalia majambio ya mifugo mda wote 🤸🤸
 
Kweli Makamba hata kufa, pamoja na watu wote wa pwani.
Waliomuua JPM wata tamalaki milele, waliosuka njama za mauji kwa simu zao mchana kweupe na kurekodiwa ni wastaarabu milele.
Simu za watu wa pwani zilidakwa , Makamba na Genge lake wote wa pwani
 
Kanywe maji ukalale,

huu uzi tunaongelea vitu vya kuonekana sio kusimuliana stori za vijiweni.

Apumzike kwa amani Marehemu John.
 
Una tamani kuona maendeleo makubwa yanapata kutokea katika hili taifa ?
 
Kweli Makamba hata kufa, pamoja na watu wote wa pwani.
Waliomuua JPM wata tamalaki milele, waliosuka njama za mauji kwa simu zao mchana kweupe na kurekodiwa ni wastaarabu milele.
Simu za watu wa pwani zilidakwa , Makamba na Genge lake wote wa pwani
unaweza thibitisha mbele ya mahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…