Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

Akilizako fupi sana,kwa mtu anaejua kufanya tathmini hakuna chakushukuru hapo.

Ufisadi, wizi, ukwepaji kodi na ujambazi wa kutisha wote umefanyika kipindi cha hao watu.

Wakati wa Magufuli hakukuwa na ujambazi na wizi wa kutisha?..wala ukwepaji Kodi?
 
Fuatilia ujue mmiliki halisi wa lake oil, gsm.....
Sasa lake oil na gsm ni Mali za serikali!?.. mshahara wa rais 45m,akienda kukopa atakopa kiasi gani ili afanye biashara!?..wezi ni wale waliouza migodi na mashirika ya umma kifisadi,na waliokwapua 1.5tr zetu
 
Sasa lake oil na gsm ni Mali za serikali!?.. mshahara wa rais 45m,akienda kukopa atakopa kiasi gani ili afanye biashara!?..wezi ni wale waliouza migodi na mashirika ya umma kifisadi,na waliokwapua 1.5tr zetu
Kufurahishwa tu ila ukweli utabaki palepale. Jiulize kwanini hakupata tuzo ya mo Ibrahim
 
Mkapa alituita CHADEMA malofa . Yule mzee alijiona amefika Sana.
 
Kweli Makamba hata kufa, pamoja na watu wote wa pwani.
Waliomuua JPM wata tamalaki milele, waliosuka njama za mauji kwa simu zao mchana kweupe na kurekodiwa ni wastaarabu milele.
Simu za watu wa pwani zilidakwa , Makamba na Genge lake wote wa pwani

Kama ni kweli hao ni mashujaa kuondoa lile jinamizi.
 
SKG someni hapa!
 
Mi sitokei kanda ya pwani lakin nakubaliana na wewe.
Nilichojifunza ni kwamba mtu hata asime na kuelimika vipi kuna asili inabaki.
Watu wa ukanda wa magharibi wana asili ya ubabe na utawala badala ya uongozi.
UTawala na ukatili haviachani mbali.
Hata babu yetu Nyerere alihofia sana siasa za kupingwa akajiengua mapema.
Mbaya zaid tukaingia mikonon mwa mtu ambaye asili yake ya ufalme wa Ntare akatupiwa nchi ya kidemokrasia. Tungeisha!!
Hata dini inasaidia.
Mtu anayefundishwa ..kudai haki, hata kufa, ni ibada hawez kuwa kama wa ....akupigaye kushoto ..... kuna mmoja ni kondoo wa kafara ndo hao tunaitwa keyboard warriors leo.
Quran hainyumbulishwi ila Biblia iko flexible kufit mahitaj ya wahusika. Wema na waovu.
Ndo maana kupitia Biblia kuna wa ndoa ya jinsia moja na kuna wa haiwezekani!
Urais ni taasisi lakin rais anaweza kuzalisha mfumo ndan ya Taasisi.
Ndo maana tunataman uwepo wa taasisi imara. Katiba imara!
Kuna makabila hadi leo ukiishi nao unagundua ni risk sana kumpa nafas ya maamuzi makubwa ya kitaifa bila gavana imara. Tusijisahaulishe kuhusu matukio katika jamii zetu yanayoakisi viongoz wetu kama sehem yetu!
Hata hivyo, kanda ya pwani i aongoza kutuzalishia jamii wavivu, wazembe, wasiojari,, mashoga, uharibifu wa watoto, ndoa lege lege na uzalendo dhaifu
 
Nyerer alishamchapa Spika samwel sita Viboko akiwa chuoni,

Mkapa katika hotuba alishasema watanzania ni wajinga, Magufuli havihesabiki
Shida ya mswahili hataki kuambiwa ukweli..hili ni tatizo kubwaa sana kwenye jamii ya watu weusi haswaa waswahil..wao wanataka kupambwa tu na maneno mazuri..ukweli ni kwamba watz ni wapumbavu na wajinga wasiojielewa..refer kenyata alivyowatukana...nyerere aliambiwa ww unaongoza maiti...huo ndo ukwel wenyewe sasa kama hujui..
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
K
urahishwa tu ila ukweli utabaki palepale. Jiulize kwanini hakupata tuzo ya mo Ibrahimila
Kila rais lazima apate hiyo tuzo!?..
 
Kwani uongo? Ni kweli wazuri hawafi, we hauoni marais wastaafu waliyokufa ni wakristo tu?
 
Kwakifupi Mimi ni mkristo Mkatoliki. Watawala wakiislamu kiukweli ni watu wa haki sana. Mungu awabariki sana. Ni watawala wa haki tofauti na sisi wakristo ni madikteta.
 
Kwakifupi Mimi ni mkristo Mkatoliki. Watawala wakiislamu kiukweli ni watu wa haki sana. Mungu awabariki sana. Ni watawala wa haki tofauti na sisi wakristo ni madikteta.
Mi nafikiri sample iliyochukuliwa ni ndogo, labda ingekuwa ni marais 10 au 20 ndio tungeweza kufanya hitimisho
 
Kwani uongo? Ni kweli wazuri hawafi, we hauoni marais wastaafu waliyokufa ni wakristo tu?
Hii ni kweli, ukiwa kiongozi mzuri na watu wakapendezwa na wewe hata dua zao zitasaidia usife haraka
 
Kwakifupi Mimi ni mkristo Mkatoliki. Watawala wakiislamu kiukweli ni watu wa haki sana. Mungu awabariki sana. Ni watawala wa haki tofauti na sisi wakristo ni madikteta.
Kuna wale ambao dini ni imani, kuna wale ambao dini ni utambulisho. Kabla hujajadiliana na mtu kuhusu dini, tambua kwanza dini kwake ni nini. Kinyume na hapo, mjadala huo una hatari ya kuishia vibaya.
 
Samia huyo huyo si ndo alimnanga lissu kwenye kampeni na magu kwamba usalama wao hawezi kukosa risasi kwa target.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…