Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

Mkuu umetusahau watu wa Kilimanjaro,watu wenye ukalimu na upendo wa agape,Tunawaza maendeleo zaidi kuliko kupenda sifa,hatumbebi MTU mzembe mzembe,kwa ufupi Nchi inamuitaji jemadari mmoja toka huko kwenye baridi ya mlima Kilimanjaro,
NB:Ata shetani anatujua na kutuogopa
 
Ni kweli ukanda huo unachapa kazi ila sasa vitendo vya ukabila vimekithiri, inakuwa hatari zaidi kwa idadi kubwa iliyopo.
 
Nyerer alishamchapa Spika samwel sita Viboko akiwa chuoni,

Mkapa katika hotuba alishasema watanzania ni wajinga, Magufuli havihesabiki
"... ni wajinga na Wana wivu wa kike... "- Mkapa
 
Nyerer alishamchapa Spika samwel sita Viboko akiwa chuoni,

Mkapa katika hotuba alishasema watanzania ni wajinga, Magufuli havihesabiki
"... ni wajinga na Wana wivu wa kike... "- Mkapa
 
2020 Kuna jamaa mmoja alisimama jukwaani na kutuambia "wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa"

Nadhani aliongea vile sababu ya jeuri ya UZIMA aliokuwa nao.

Raia/Wana wa Mungu wakamjibu MOLOFA katika ubora wetu Wala hawakumtukana jamaa yule.

Miezi michache jamaa yule atoweka kwenye uso wa Dunia ghafla tu hata hatujui Nini kilimsibu maana hata maelezo waliyotoa hayakujitosheleza .

Stay humble, be Humble or you gotta be humbled for real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…