Hao ni kwa matakwa na hisia zao.Tanzania yote huwa kuna ushabiki wa Yanga vs Simba, Mondi vs Kiba.... Sasa hao wafalme wawili wa kwenu Mondi na Kiba wamefuataa Kenya...
Hao ni kwa matakwa na hisia zao.
Hivi buddah umefika Manyara ??
Fika ukaone totoz kule nzuri sio km wakisii wanaofanana na mwai kibaki.
..angekutana na Waziri Amina ndiyo angechanganyikiwa zaidi.
..lakini mimi niliona kama utani ule ulikuwa kinyume na maadili, au unprofessional.
Duh bro, punguza presha...kuna light moments in life, hapa utakuta hata wake zao hawa marais walicheka pia maana ni utani wa kawaida.
Kabisa sio kwakua ni rais ndo unuuuune tu kila siku,maisha yenyewe yako wapi..wacha mapenzi yatawale..!!Duh bro, punguza presha...kuna light moments in life, hapa utakuta hata wake zao hawa marais walicheka pia maana ni utani wa kawaida.
Kabisa sio kwakua ni rais ndo unuuuune tu kila siku,maisha yenyewe yako wapi..wacha mapenzi yatawale..!!
Kenya mlikua mnazibana rasilimali zetu toka 2010 kwa nini? Mlikua mna lengo gani nazo mpaka JPM azidai?
Yani yule ndiyo mzuri kwenu? Wakenya bhana
Wasichana wa bongo awataki hao jamaa. Malaya Sana. Ndio maana wanakimbilia Uganda na Kenya.Tanzania yote huwa kuna ushabiki wa Yanga vs Simba, Mondi vs Kiba.... Sasa hao wafalme wawili wa kwenu Mondi na Kiba wamefuataa Kenya...
Ahahaaha mkuu una ushahidi gani???Sasa mbona Mobeto alikwenda kwa mganga ili ajaribu kumfanya Diamond msukule.....au Mobeto sio Mbongo.
Uliza Rais wako hilo swali!Yani yule ndiyo mzuri kwenu? Wakenya bhana
Some body mzalendo ndio anafanana na mwai kibakiHao ni kwa matakwa na hisia zao.
Hivi buddah umefika Manyara ??
Fika ukaone totoz kule nzuri sio km wakisii wanaofanana na mwai kibaki.