Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Hao ni kwa matakwa na hisia zao.Tanzania yote huwa kuna ushabiki wa Yanga vs Simba, Mondi vs Kiba.... Sasa hao wafalme wawili wa kwenu Mondi na Kiba wamefuataa Kenya...
Hivi buddah umefika Manyara ??
Fika ukaone totoz kule nzuri sio km wakisii wanaofanana na mwai kibaki.