Huo muonekano ni sababu ya uzee tu....Kwa nini huwa na sura mbaya sana na wengi hufiti hata ile dhana ya kibaguzi tunaoitwa Waafrika weusi na wasio Waafrika kama kutupiwa ndizi na kadhalika? Na cha kushangaza hawa maraisi wenye huu muonekano wote wamepata uraisi kwa mbinde na shinikizo sasa je ni conspiracy au inatokea tu wana huo muonekano? Ikumbukwe kwamba Nigeria is the most important 100% black country in the World …
Raisi Tinubu wa Nigeria.
View attachment 2730098
Obasanjo wa alikuwa raisi Nigeria pia
View attachment 2730101
View attachment 2730094
Nimeona kama ameandika nigeria lakini, au huko inasomeka tanzania?Hao wenye Sura nzuri umeona walipoifikisha Tanzania yetu?😅🙌
HeheeeeHao wenye Sura nzuri umeona walipoifikisha Tanzania yetu?😅🙌
Kwenye maelezo yake ame- generalise na Uafrika humo humo.Nimeona kama ameandika nigeria lakini, au huko inasomeka tanzania?
True saivi wakaka watavalishwa magauni DP World hoyeeHao wenye Sura nzuri umeona walipoifikisha Tanzania yetu?😅🙌
Labda hao ndio wanakula ndizi peke yao, si unajua tena akutukanae?Maraisi wa Nigeria wako wawil tu?
Ikifikia hiyo stage sisi Wazee tutakimbilia zetu Burundi tu 🤪True saivi wakaka watavalishwa magauni DP World hoyee
Imeshafika wanaume siku hzi wanakusuta na dira wanavaa chaiIkifikia hiyo stage sisi Wazee tutakimbilia zetu Burundi tu 🤪
Hiyo stage mbona tayari, au kwa vile haikutolewa waraka? Waliunga mkono ndio maanaIkifikia hiyo stage sisi Wazee tutakimbilia zetu Burundi tu 🤪
Huenda bado sijakutana nao, siku nikija kuona live basi kesho yake asubuhi na mapema nitakuwa Mgeni wa Warundi 🤪Imeshafika wanaume siku hzi wanakusuta na dira wanavaa mgongoni chai
Ngoja nakutumia kitu uanze maombi siku hzi hakuna wanaume tena wamebaki matom boyHuenda bado sijakutana nao, siku nikija kuona live basi kesho yake asubuhi na mapema nitakuwa Mgeni wa Warundi 🤪
Huyu Mwamba Ibasanjo ana rekodi ya aina yake kama ya Hayati Pervez Musharaf wa PakistanHuo muonekano ni sababu ya uzee tu....
Hapa chini ni Rais Obasanjo akiwa na Rais Jimmy Carter wa Marekani mwaka 1977 na mwaka 1978
View attachment 2730110
View attachment 2730138
Itakuwa hiyo habari ilinipita, Wakija kufufuka waasisi wa Tanzania nina imani watalia machozi kwa yanayoendelea 🙆♂️Hiyo stage mbona tayari, au kwa vile haikutolewa waraka? Waliunga mkono ndio maana
Usifanye niaandae passport yangu ya safari muda huuNgoja nakutumia kitu uanze maombi siku hzi hakuna wanaume tena wamebaki matom boy
Yaani unautani haya macho unayoUsifanye niaandae passport yangu ya safari muda huu
Nasubiria kukiona hicho unachosema