Your assertion is very subjective. Sura mbaya kwa vipi??!!! Weka kwanza picha yako hapa ili tuone unamananisha nini na tulinganishe na wazee hawa. unashindwa kuelewa kuwa ukiwa mzee sura hubadilika. Mimi sioni tatizo lolote hapa. Sioni hiyo 'issue ya sura mbaya' inatoka wapi. tuwekee hapa picha ya baba yako na hata mama yako ili tuone pia.Kwa nini huwa na sura mbaya sana na wengi hufiti hata ile dhana ya kibaguzi tunaoitwa Waafrika weusi na wasio Waafrika kama kutupiwa ndizi na kadhalika? Na cha kushangaza hawa maraisi wenye huu muonekano wote wamepata uraisi kwa mbinde na shinikizo sasa je ni conspiracy au inatokea tu wana huo muonekano? Ikumbukwe kwamba Nigeria is the most important 100% black country in the World …
Raisi Tinubu wa Nigeria.
View attachment 2730098
Obasanjo wa alikuwa raisi Nigeria pia
View attachment 2730101
View attachment 2730094