Marais wa Nigeria ni conspiracy au inatokea tu?

Sura haziongozi
 
Yaani umezaa watoto wako wakiume, unajisifia kwa kuwaita Vidume kumbe nyuma ya Pazia wanashikishwa Ukuta.

Mungu atusaidie Wazazi wa kizazi cha leo
True muzee hii hali ni mbaya sana kwa maana wanashawishiana kwa magari mazuri,maisha mazuri so wanaamua kushikishwa ukuta ila msiombee washike bandari wale mijitu ndio hutowaona wanaume kabisa nakuambia
 
Yaani umezaa watoto wako wakiume, unajisifia kwa kuwaita Vidume kumbe nyuma ya Pazia wanashikishwa Ukuta.

Mungu atusaidie Wazazi wa kizazi cha leo

Makosa ya wazazi pia, unakuta mtu anapeleka mtoto wa miaka 5 boarding, baba hayupo nyumbani akitoka kazini pombe nyama choma akirudi manane analala kesho repeat mtoto ameshindaje anaendeleaje haimuhusu akiulizwa anajibu analipa ada, nimerahisisha ofcourse lkn malezi yanachangia sana kwa maana hao mashoga hawakuzaliwa hivyo walianza pole pole na hakuna aliyejali mwishowe wamefikia mahali ambapo hawawezi rudi nyuma tena …
 
Hata wewe ukizeeka pengine utakuwa zaidi ya hawa. Waache wazee wa watu wapumzike.
 
Hata wewe ukizeeka pengine utakuwa zaidi ya hawa. Waache wazee wa watu wapumzike.

Hahaha unaonea huruma na kuwatetea watu ambao wana kila kitu? Sijaongelea watu wa chini …
 
Hata wewe ukizeeka pengine utakuwa zaidi ya hawa. Waache wazee wa watu wapumzike.
Hahaha unaonea huruma na kuwatetea watu ambao wana kila kitu? Sijaongelea watu wa chini …

Hawana kila kitu, ila wana vitu vingi. Wangekuwa nabkila kitu hata muonekano wao ungekuwa bora zaidi. Lkn sasa wamesinyaa, inaonekana kuna kitu wanakosa.
 
Hata mimi nilijiuliza sana kwa nini marais wa nigeria huwa na sura mbaya? Sikupata jibu. Yule mgombea aliyeitwa peter obi kidogo alikuwa na sura nzuri ila alishindwa na tinubu. Labda wanigeria wanachagua rais bila kuangalia uzuri wa sura na hawajali brand national yao kuwa mbaya mbele ya mataifa mengine ambayo marais wao wana sura nzuri kiasi cha raia wake kujisikia vizuri rais wao awapo miongoni mwa marais wa dunia
 
Naigeria ina uchumi mkubwa kwa sasa Africa nzima, Badala mkae kujadili nchi inayoka vipi hapa ilipo mnakaa kujadili ujinha? Ukitoka hapa nend kaanzishe maada ya Yanga na simba.

Nchi ina wajinga sana
 
Naigeria ina uchumi mkubwa kwa sasa Africa nzima, Badala mkae kujadili nchi inayoka vipi hapa ilipo mnakaa kujadili ujinha? Ukitoka hapa nend kaanzishe maada ya Yanga na simba.

Nchi ina wajinga sana

Mbona hizo mada zipo za kutosha tu haukuziona isitoshe looks matter asikudanganye mtu unafikiri kwa nini ma princess na ma prince wote wa powerful royal families ni good looking? Wananchi are looking up to them, Viongozi wakivaa vizuri na kuwa attractive wananchi wanafwata pia, Kiongozi sura mbaya ni utambulisho wa Taifa analoliongoza pia, kuna sababu kwa nini watu husema nchi fulani watu wake good looking isitoshe good looks inaongeza confidence na inakufikisha mbali hata kwenye majadiliano, tafuta Kiongozi wa Taifa lolote kubwa na lililooendelea ambaye huonekana kama Tulubu, hivyo usichukulie poa …
 
tafuta picha ya obasanjo alipokuwa kijana au enzi zile anapindua nchi, hakuwa na sura kama hiyo, hiyo aliyonayo ni ya uzee, hata wewe ukija kuwa mzee utakuwa hivyo hivyo.
 
tafuta picha ya obasanjo alipokuwa kijana au enzi zile anapindua nchi, hakuwa na sura kama hiyo, hiyo aliyonayo ni ya uzee, hata wewe ukija kuwa mzee utakuwa hivyo hivyo.
mbona kikwete amezeeka lakini anaonekana ana sura nzuri kuliko hata mwanae ridhiwani? Kuna vibibi vimezeeka vikiwa na sura nzuri, je walipokuwa mabinti walikuaje?
 
Na mara nyingi ni vilaza na mafisadi wa kutisha
 
Hivi Trump au Biden Wana sura mzuri. Wenzetu wanaangalia uwezo na sio sura ndio maana hata Nyerere aliwahi kusema tunapochagua raise hatuangalii sura kwa sababu hatuwezi kuposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…