Marais wa Nigeria ni conspiracy au inatokea tu?

Your assertion is very subjective. Sura mbaya kwa vipi??!!! Weka kwanza picha yako hapa ili tuone unamananisha nini na tulinganishe na wazee hawa. unashindwa kuelewa kuwa ukiwa mzee sura hubadilika. Mimi sioni tatizo lolote hapa. Sioni hiyo 'issue ya sura mbaya' inatoka wapi. tuwekee hapa picha ya baba yako na hata mama yako ili tuone pia.
 
Umenikumbsuha ya Tanzania ,mgombea anaweza chakuguliwa Kwa kuwa anamwonekano mzurisana wa sura na Si ajenda alizonazo kwenye kampeni

Wewe Sasa ugumu wa sura ya mtu na uongozi wakuchaguliwa ,wapi nawapi
 
Ukiona mtu mweusi anambeza mweusi mwenzie. Ni Changamoto y akili.
 
Mwanaume awe mzuri Ili iweje? mwanaume awe na akili inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…