Marais wakataa ndoa duniani

Hivi mtu unaishije bila mke
Unakuwa huna genye

Wanawake wazuri wote hawa kidume huna wako, upo unajifariji na uzinifu tu na punyeto

Tumbafu kabisa team kataa ndoa
Tunaishi nao kimachale hamna kurasimisha
 
Hivi mtu unaishije bila mke
Unakuwa huna genye

Wanawake wazuri wote hawa kidume huna wako, upo unajifariji na uzinifu tu na punyeto

Tumbafu kabisa team kataa ndoa
Maisha tu machaguzi kila mtu na yake
 
putin ni ngumu sana kuishi na mke,aliwahi kuoa na akazaa mtoto mmoja wa kike,kwa taarifa yako putin anaishi chini baharini kwenye nyambizi,kule kwenye bahari ya sochi,huko mke hawezi kuishi,ila akitaka mwanamke analetewa anasex na mwanamke anaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…