Marais wanawake wa kiislam duniani

Sasa hii picha inahusika na nn na mada yako.
NILIKUA BEIRUT NA CAIRO NA TUNIS NA PARIS MIAKA ILIYOPITA NA KUNA WANAWAKE WANAVAA USHUNGI NA WENGINE HAWAVAI.
NA WENGINE LEO KAVAA USHUNGI ILA KESHO HAVAI
Quran imetaka wanawake kuvaa hijab. Biblia inataka hivyo. Mayahudi na magharibi wanataka wakae vichwa wazi
 
Lengo la uzi ni nini? Mbona umeisha ghafla?
 
Quran imetaka wanawake kuvaa hijab. Biblia inataka hivyo. Mayahudi na magharibi wanataka wakae vichwa wazi
Quran inawahusu maarabu tu na maislamu.
Biblia ni torati ya wayahudi na inawahusu mayahudi na makrsto tu.
EBU NIONYESHE KWENYE TORATI (BIBLIA) WAMEEANDIKA NI LAZIMA WANAWAKE WAVAE USHUNGI???
 

Huyu jamaa naona ni libukeni wa dini ya uislam, anashindwa kutofautisha kati ya mila za na tamaduni za waarabu na uislamu
 
Huyu jamaa naona ni libukeni wa dini ya uislam, anashindwa kutofautisha kati ya mila za na tamaduni za waarabu na uislamu

Na Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana lao jambo. Na ilhali wote wanasoma Kitabu hicho hicho (Biblia). Na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitilafiana​

 
Wamesema wapi????
Na onyesha kwenye torati,,,sehemu inayosema hivyo???
NB: Achana propaganda za waislamu na Quran za kutaka kuwagombanisha wakrsto na wayahudi.
 
Maralia kweli unaumwa na ushahama mada ya ushungi 🤣🤣🤣
 
So what!!? We kweli ni malaria Kama ilivyo jina lako. Akishakuwa rais mwislamu, mkristo, budha, mhindu au mpagani ina 'siginificance' gani kwenye maisha yako? Au hata rais akiwa wa kabila lako[emoji848].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…