Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Kosa kukataa kupima mkojo! Inji hii shida.mtu yupo lupango kosa halifahamiki!!!
ujunga
ujinga
ujinga
Ni Diwani wa mbagalaManji si Rais wa Yanga!!
Kupima mkojo ili kudhihirisha uchochezi. Sasa sijui uchochezi siku hizi umekuwa gonjwa la zinaa. Tanzania yetu ya maajabu. Muda si mrefu tutaambiwa anatumia madawa ya kulevya.Kosa kukataa kupima mkojo! Inji hii shida.
Hahahaha naona umefungukaTuseme kweli,Mkuu Martin George huwa unaongea mashudu sana. Nashindwa kuelewa kama kweli Moderators wa contents huwa on duty.
Ungejua ubora wa mashudu ktk lishe yoyote usingepanic!Tuseme kweli,Mkuu Martin George huwa unaongea mashudu sana. Nashindwa kuelewa kama kweli Moderators wa contents huwa on duty.
Hahahaaa ukimgusa wakili mbobezi lazima akurupuke!Hahahaha naona umefunguka
Mbona wanataka kumpima mkojo ? Sasa au wanataka wajue kama anaumwa UTITundu lissu ni uchochezi, sio ufisadi
DuhUngejua ubora wa mashudu ktk lishe yoyote usingepanic!
hilo ni la kuwauliza waoMbona wanataka kumpima mkojo ? Sasa au wanataka wajue kama anaumwa UTI