marais wanne wako lupango kwa ufisadi Tanzania.

marais wanne wako lupango kwa ufisadi Tanzania.

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,695
Reaction score
1,470
Hawa ni pamoja na rais wa Yanga ndugu Manji, rais wa Simba Aveva, rais wa TFF Malinzi na yule rais wa TLS aitwaye Lisu lakini huyu hausishwi na ufisadi bali uchunguzi ukikamilika tutajulishwa kosa lake!
 
Ndio uzuri wa teknolojia ya mawasiliano, yaani inahakikisha uhuru kuliko demokrasia na siasa ya bongo. Hata wendawazimu wana uhuru wa kuanzisha na kuchangia mijadala kwa kutumia vifaa vyao vya kielektroniki. Hope siku moja hata watawala watafuata katiba na demokrasia iwe hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada yuko sahihi. Wala asiaumiwe, kachukua kauli ya Jery Muro kama ilivyo.
 
afadhali raisi wangu wa manzese madee seneda yuko uraiani akiendelea na shuhuli zake za kila siku za uongozi
 
Back
Top Bottom