The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Najua kuwa askofu Makarios wa Cyprus na Hastings Kamuzu Banda hawakuwa na wake wala watoto. Putin wa Urusi alikuwa na mke wakaachana.
Mia Motley waziri mkuu wa Barbados hana mume. Pia, rais Buchanan Jr wa Marekani pia, hakuwahi kuoa hadi anakufa.
Nashauri uchaguzi mwingine tuchague msela ili tuepushe kupoteza pesa kutunza familia za watu.