Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kuna ulazima wa kuliangalia upya suala zima!Wanauza tu, Wana mijengo kila mkoa hapa nchini Sasa kwanini ahame msoga ambako anamiliki Kijiji aende dar ambako Ana mahekalu kumi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hawazipangishi, kwani hawana majengo mengine ya kupangisha hadi wakapangishe nyumba ambazo wamepewa na serikaliMatumizi mabaya ya fedha za umma, wanapangisha na kupiga pesa
Nchi zetu za kiafrika tuna safari ndefu sana. Kama hawa ni mali ya umma, hizi zote za nini?..Joseph Warioba.
..John Malecela.
..Cleopa Msuya.
..Mohamed Shein.
..Dr.Mohamed Bilal.
..Salim Ahmed Salim.
..Frederick Sumaye.
..Edward Lowassa.
..Mizengo Pinda.
..Pius Msekwa.
..Anna Makinda.
..piga hesabu ni BILLIONI ngapi zinahitajika kuwajengea majumba ya kifahari wastaafu hao.
..sina uhakika kama sheria ilisema wajengewe majumba wayamiliki, au watatunzwa na serikali ktk suala la makazi.
..kama ni kujengewa majumba kuna waliostahili majumba hayo lakini hatukuona wakikabidhiwa mfano Rashid Mfaume Kawawa ambaye ameshatangulia mbele za haki.
Hawazipangishi, kwani hawana majengo mengine ya kupangisha hadi wakapangishe nyumba ambazo wamepewa na serikali
Kwani jpm nyumba ya ada si anayo mpk leoNchi zetu za kiafrika tuna safari ndefu sana. Kama hawa ni mali ya umma, hizi zote za nini?
Nchi zetu za kiafrika tuna safari ndefu sana. Kama hawa ni mali ya umma, hizi zote za nini?
Una uhakika wa hilo la fully furnished?nyumba ni fully furnished na wanahamia ...walio wengi ...ni swala la kikatiba na ilikwisha pita Mh Mama Samia SULUHU H anatekeleza tu...
Kila mjengo ni billion 7!..Joseph Warioba.
..John Malecela.
..Cleopa Msuya.
..Mohamed Shein.
..Dr.Mohamed Bilal.
..Salim Ahmed Salim.
..Frederick Sumaye.
..Edward Lowassa.
..Mizengo Pinda.
..Pius Msekwa.
..Anna Makinda.
..piga hesabu ni BILLIONI ngapi zinahitajika kuwajengea majumba ya kifahari wastaafu hao.
..sina uhakika kama sheria ilisema wajengewe majumba wayamiliki, au watatunzwa na serikali ktk suala la makazi.
..kama ni kujengewa majumba kuna waliostahili majumba hayo lakini hatukuona wakikabidhiwa mfano Rashid Mfaume Kawawa ambaye ameshatangulia mbele za haki.
Tamaa ya kumiliki Mali ni mbaya sana hasa ukiwa na power,maana unaweza taka hata kuchukua Mlima Kilimanjaro na kuuweka sitting room kwako! Yaani wwe unakua huna nafsi ya kuridhika na ulichonacho hata kama ni kikubwa,kila ukizidi kupata na ndiyo unazidi kutaka na vingine!! Na huo ni aina flani ya ugonjwa,sema unakua hujijui Kama unao,ila watu wa pembeni yako ndiyo wanakuona!!Wanauza tu, Wana mijengo kila mkoa hapa nchini Sasa kwanini ahame msoga ambako anamiliki Kijiji aende dar ambako Ana mahekalu kumi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Yaani hao wote uliowataja kumbe wanatutegemea sisi tuwalishe kupitia Kodi zetu!? Tumekwisha Mungu tuhurumie na huo msururuu wa Mizigo!!..Joseph Warioba.
..John Malecela.
..Cleopa Msuya.
..Mohamed Shein.
..Dr.Mohamed Bilal.
..Salim Ahmed Salim.
..Frederick Sumaye.
..Edward Lowassa.
..Mizengo Pinda.
..Pius Msekwa.
..Anna Makinda.
..piga hesabu ni BILLIONI ngapi zinahitajika kuwajengea majumba ya kifahari wastaafu hao.
..sina uhakika kama sheria ilisema wajengewe majumba wayamiliki, au watatunzwa na serikali ktk suala la makazi.
..kama ni kujengewa majumba kuna waliostahili majumba hayo lakini hatukuona wakikabidhiwa mfano Rashid Mfaume Kawawa ambaye ameshatangulia mbele za haki.
The country is loosing alots of money..Joseph Warioba.
..John Malecela.
..Cleopa Msuya.
..Mohamed Shein.
..Dr.Mohamed Bilal.
..Salim Ahmed Salim.
..Frederick Sumaye.
..Edward Lowassa.
..Mizengo Pinda.
..Pius Msekwa.
..Anna Makinda.
..piga hesabu ni BILLIONI ngapi zinahitajika kuwajengea majumba ya kifahari wastaafu hao.
..sina uhakika kama sheria ilisema wajengewe majumba wayamiliki, au watatunzwa na serikali ktk suala la makazi.
..kama ni kujengewa majumba kuna waliostahili majumba hayo lakini hatukuona wakikabidhiwa mfano Rashid Mfaume Kawawa ambaye ameshatangulia mbele za haki.
Nani anakuwa anaishi humo na wakati hakuna mtu anaishi humo?Hawazipangishi, kwani hawana majengo mengine ya kupangisha hadi wakapangishe nyumba ambazo wamepewa na serikali